Conversation
Conversation
Read the full discussion, reply with context, and keep the thread flowing in one clean workspace.
Thread Workspace
Read, reply, copy, and navigate the conversation clearly.
J
Joseph
the-power-behind-what-you-study
Thread #1
PUBLIC
OPEN
04 May 2026
What do youth need to do ?
18:38
05 May 2026
Please! clarify your question Joseph
21:03
Yeyote yule anakaribishwa kuuliza swali lolote, karibuni
21:05
15 May 2026
Katika session yetu tulijifunza kuwa: Wengi hupoteza hamasa ya kusoma si kwa sababu masomo ni magumu, bali kwa sababu hawajaona nguvu na thamani iliyofichika ndani ya kile wanachokisoma. Tulijadili kwamba ukitambua kwa nini unasoma kitu fulani: faida yake, fursa zake, na faida yake kwenye maisha halisi mwili unapata nguvu, akili inapata msukumo, na malengo yanakuwa rahisi kuyafikia. Kwa hiyo, mabadiliko ya matokeo huanza na mabadiliko ya mtazamo.
Je, unakosa nguvu ya kusoma kwa malengo na kwa kusudi?
08:37